Monday, March 28, 2016

JE WAJUA?

Wajua kuwa maji huweza kuboresha maisha yako ya ndoa? utafiti unaonyesha kuwa unywaji wa majimengi huwezesha kuimalisha mishipa ya mwili wako hasa ile ya uume,tumia maji mengi kila siku ili uweze kuwa imara pale kitandani

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home