JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MTIHANI WA PAMOJA WA UTAMILIFU DARASA LA SABA
JULAI 2019
SAYANSI
Muda: Saa 1:30
MAELEKEZO KWA WATAHINIWA
1. Karatasi hii ina sehemu A na B zenye maswali arobaini na tano (45)
2. Jibu maswali yote katika kila sehemu.
3. Soma maelekezo yote yaliyoko katika karatasi maalum ya kujibia (OMR)
4. Jaza taarifa zote katika fomu ya OMR na kwenye ukurasa wenye swali 41 - 45 katika karatasi ya maswali
5. Weka kivuli katika kila tarakimu ya namba yako ya mtihani kwenye nafasi husika
katika fomu ya OMR
6. Weka kivuli katika herufi ya jibu sahihi kwa kila swali katika karatasi yako ya kujibia OMR kwa swali la 1 - 40. Kwa mfano kama jibu ni D weka kivuli kama ifuatavyo:-
7. Ukigundua kuwa herufi uliyowekea kivuli sio sahihi futa kivuli hicho kwa umakini kwa kutumia kifutio safi kabla ya kuweka kivuli katika herufi mpya.
8. Tumia penseli ya HB tu katika kujibu swali namba 1 - 40 na tumia kalamu ya wino wa bluu au mweusi kujibu swali la 41 - 45
9. Simu za mkononi “HAZIRUHUSIWI” katika chumba cha mtihani.
Karatasi hii ina kurasa 5 zenye maandishi
SEHEMU A Chagua herufi ya jibu sahihi
1. Ugonjwa upi kati ya magonjwa yafuatayo si ugonjwa wa ngono? [ ]
(a) Kaswende (b) Trakoma (c) Kisonono (d) V.V.U / UKIMWI (e) Trikomona
2. Ogani inayozalisha kimeny’enya cha fati na mafuta huitwa ……………………….. [ ] (a) moyo (b) figo (c) kongosho (d) ubongo (e) tumbo
3. Mshipa unaosafirisha damu chafu kwenda kwenye mapafu huitwa …………………… [ ]
(a) ateri (b) vena kava (c) vena (d) ateri ya polimonari (e) vena ya polimonari
4. Upi ni mpangilio wa sahihi wa uandishi wa ripoti ya Jaribio. [ ]
(a) Njia, Vifaa, Kusudi, Matokeao na Hitimisho (b) Njia, Vifaa, Kusudi, Hitimisho na Matokeo
(c) Kusudi, Njia, Vifaa, Matokeo na Hitimisho (d) Kusudi, Vifaa, Njia, Matokeo na Hitimisho
5. Hatua ya kwanza ya kumhudumia majeruhi wa ajari ni [ ]
(a) Kutibia kwenye jeraha (b) Mpeleke majeruhi hospitali (c) Mtoe majeruhi katika eneo la hatari (d) Kumpatia mchanganyiko wa sukari na chumvi (e) Kuita gari la wagonjwa
6. Sehemu ipi ya ua inayokuwa na kuwa mbegu baada ya uchavushaji?. [ ] (a) Ovyuli (b) Ovari (c) Stigma (d) Petali (e) Sepali
7. Gesi gani inayounda bayogesi kwa kiwango kikubwa? [ ]
(a) Kabonidayoksaidi (b) Uvuke (c) Naitrojeni (d) Oksijeni (e) Mitheni
8. Homoni inayodhibiti mmeng’enyo wa chakula huitwa………………. [ ]
(a) Insulini (b) Parathormoni (c) Adrenalini (d) Thairoksini (e) Oksizitesini
9. Joto husafiri kwa njia gani katika maada yenye hali yabisi?. [ ] (a) Transilokasheni (b) Msafara (c) Mnururisho (d) Mpitisho (e) Transifomasheni
10. Sehemu inayolinda ua kabla halijachanua huitwa ……………………… [ ]
(a) Petali (b) Sepali (c) ovari (d) staili (e) kikonyoa
11. Kipimio kinachothibitisha kuwa damu ina V.V.U huitwa…………… [ ]
(a) Kipimio cha damu (b) Western blot
(c) Kipimio cha mkojo (d) Kipimio cha malaria (e) Kipimio cha haraka
12. Upungufu wa vitamin inayozalishwa katika ngozi kwa msaada wa mwanga wa jua husababisha ugonjwa wa ……………………. [ ]
(a) Kiseyeye (b) Beriberi (c) Pallagra (d) Matege (e) Ukavu macho
13. Paneli za jua hubadilisha nishati ya mwanga kuwa aina gani ya nishati? [ ] (a) Umeme (b) Sauti (c) Elektroni (d) Mwanga (e) Joto
14. Kitendo cha kusafirisha chakula kutoka kwenye majani kwenda kuhifadhiwa huitwa [ ]
(a) Respiresheni (b) Transipiresheni
(c) Transilokesheni (d) Fotothinthesisi (e) Kuota kwa mbegu
15. Sehemu ipi katika kielelezo kifuatacho inayohusika katika mfumo wa homoni na mmeng’enyo wa chakula? [ ]
(a) A
(b) B
(c) C
(d) D
(e) E
16. Tendo la urutubisho hufanyika katika sehemu gani ya via za uzazi wa mwanamke? [ ]
(a) Ovari (b) Uterasi (c) Selviksi (d) Kuta za Uterasi (e) Mirija ya falopia
17. Haemofilia ni ugonjwa unaosababishwa na upungufu wa …………………… [ ]
(a) Vitamini B1 (b) Vitamini B2 (c) Vitamini K (d) Vitamini C (e) Vitamini B12
18. Kifaa kinachotumika kupima mkondo wa umeme katika sakiti huitwa ……………… [ ] (a) Voltimita (b) Amita (c) Galvanomita (d) Ohmmita (e) Ampia
19. Sehemu ya seli inayotawala shughuli zote za seli ni …………………. [ ]
(a) Nyukliasi (b) Kiwambo cha seli
(c) Ukuta wa seli (d) Saitoplazimu (e) Kloroplasti
20. Kuna maumbo mangapi ya sumaku? [ ]
(a) 3 (b) 6 (c) 4 (d) 5 (e) 2
21. Moja kati ya shughuli zifuatazo haisaidii kutunza mazingira yetu, nayo ni …………… [ ]
(a) Kupanda miti (b) Kujenga uzio
(c) Kulima kwa kufuata kontua (d) Matumizi mrudio wa takataka (e) kukata miti
22. Lava wa kipepeo hujulikana kama……………….. [ ]
(a) Funza (b) Kiluwiluwi (c) Pupa (d) Kiwavi (e) Mdudu kamili
23. Sehemu ya mfumo wa upumuaji ambayo mbadilishano wa gesi hutokea huitwa? [ ] (a) Trakea au umio wa hewa (b) Pua (c) Viriba hewa (d) Bronchioli (e) Bronkasi
24. Lenzi inayokusanya miale ya mwanga huitwa … [ ]
(a) Lenzi mbinuko (b) Lenzi mbonyeo
(c) Kioo bapa (d) Kioo mbinuko (e) Kioo mbonyeo
25. Ugonjwa unaosababisha na bakteria aina ya basili huitwa …………………….. [ ] (a) Kifua kikuu (b) Kichomi (c) Pumu (d) Kansa (e) Kuhara
26. Mkono wa binadamu ni nyenzo daraja la ngapi? [ ] (a) Kwanza (b) Tatu (c) Nne (d) Pili (e) Tano
27. Sehemu iliyooneshwa kwa herufi K huitwa ……………………. [ ]
(a) Aksoni
(b) Saitoplazimu
(c) Mafuta (d) Dendriti
(e) Nyukliasi
28. Juma alitumia kani ya N20 kufanya kazi ya joule 50. Tafuta umbali wa uelekeo wa kani?
(a) m 2.5 (b) m 0.25 (c) m 25 (d) m 1000 (e) m 100 [ ]
29. Ipi kati ya yafuatayo si sababu ya kutoa huduma ya kwanza ……………………….. [ ]
(a) Kuokoa maisha (b) Kupata fedha
(c) Kupunguza maumivu (d) Kuzuia kutoka kwa damu (e) Kutoa matumaini
30. Njia ipi inayotumika kuwasilisha data za uchunguzi au utafiti wa kisayansi? [ ]
(a) Uchunguzi (b) Wastani (c) Takwimu kwa duara (d) Umbali (e) Asilimia 31. Sehemu ipi katika kielelezo kifuatacho husukuma damu kuelekea sehemu zote za mwili.
(a) A
(b) B [ ]
(c) C
(d) D
(e) E
32. Alama hii inawakilisha nini katika sakiti ya umeme. [ ]
(a) Kihisi umeme (b) Fyuzi (c) Mkondo geu (d) Mkondo mnyoofu (e) Kikinza
33. Ipi ni njia ya asili ya uzazi wa mpango kati ya zifuatazo. [ ]
(a) Kutumia kondomu (b) Sindano
(c) Kuendelea kumnyonyesha mtoto (d) Kutumia vidonge
34. Sehemu ipi ya mwili inayotengeneza seli zinazoshambuliwa na V.V.U [ ] (a) Uroto mwekundu (b) Moyo (c) Ini (d) Uroto wa njano (e) Mapafu
35. Ogani katika kielelezo kifuatacho hutoa taka mwili gani? [ ]
(a) Urea (b) Jasho
(c) Mkojo
(d) Kabonidaioksaidi
(e) Amonia
36. Muunganiko wa Elementi zisizofanana mbili au Zaidi ya mbili huitwa ……………………. [ ] (a) Molekyuli (b) Valensi (c) Kampaundi (d) Elektroni (e)
37. Tafuta ukubwa wa pembe akisi (r) [ ]
(a) 350
(b) 550
(c) 450
(d) 300
(e) 700
38. Ipi kati ya kazi zifuatazo si kazi ya mifupa. [ ]
(a) Kutengeneza damu (b) Kuupa mwili umbo (c) Kusimamisha mwili na kutembea
(d) Kulinda ogani za ndani ya mwili (e) Kupitisha taarifa
39. Badili 143.60F kuwa sentigredi? [ ]
(a) 600C (b) 630C (c) 59.40C (d) 760C (e) 620C
40. Sehemu ipi katika kielelezo kifuatacho huonesha Humerasi? [ ]
(a) C
(b) B
(c) D
(d) A
(e) E
Mkoa_________________________ Wilaya_________________________________
Shule________________________________________________________________
Namba ya Mtahiniwa___________________________________________________
Somo________________________________________________________________
SEHEMU B:
Jibu maswali yafuatayo
41. Andika mlinganyo ua alama ya kikemikali inayowakilisha maada ambayo inauwezo wa kupatikana katika hali kuu tatu za maada ……………………
42. Tafuta mkondo wa umeme katika sakiti ifuatayo?
43. Mashine ya jitihada ya N250 ilijongea umbali wa meta 16 kuinua mzigo wa N500 kwa umbali meta
4. Tafuta ufanisi wa mashine.
44. Sehemu ya jicho ambayo inafanana na filamu katika kamera huitwa …………………….
45. Tafuta thamani ya mzigo X katika mchoro ufuatao: